
Tanzania Now Charges Twenty Maasai People From Loliondo With Murder
It is believed that the case is connected with the murder of a police officer in Ngorongoro.

It is believed that the case is connected with the murder of a police officer in Ngorongoro.

Ipo mikataba ya kikanda na kimataifa ambayo ilipitishwa katika mikutano ya wakuu wa nchi ili kuhakikisha ustawi wa wazee duniani. Hata hivyo, mikataba hii haijaridhiwa na Serikali ya Tanzania na hivyo kutotekelezwa.

Wanahabari wanadhima ya kukieneza Kiswahili kikiambatana na ustaarabu, usahihi, usanifu, ufasaha, utamaduni na kunga zake.

Sensa ni hatua muhimu kwenye mchakato mzima wa kuwaletea wananchi maendeleo.

Hatua kubwa kati ya hizi ni utashi wa kisiasa kutoka kwa watu waliopewa dhima ya kuendesha nchi.

Wakili huyo hata hivyo anaonya kwamba Katiba na sheria nzuri havitoi uhakika kwamba mfumo wa haki utaimarika. Anasema mageuzi ya kisheria ni lazima yaambatane na mageuzi ya kitabia na kimatendo miongoni wato haki.

Ripoti hiyo iliyochapishwa Februari 10, 2022, inatoa mapendekezo sita ambayo wanamazingira wanaamini kwamba kama yatatekelezwa vizuri yataifanya EAC kuwa katika viwango vya kimataifa juu ya ulindaji wa mazingira.

Kuwa na vyuo vikuu vya masuala ya ushirika ni hadithi ya kufurahisha lakini mambo kama utegemezi wa mbegu, utegemezi wa mvua, utegemezi wa maarifa na mbinu za uzalishaji ni hadithi isiyofurahisha.

Kitendo cha Moroko kuendelea kuikalia kwa mabavu Sahara Magharibi kinaonesha kwamba harakati dhidi ya ukoloni barani Afrika hazijaisha

Ni kitabu cha Biubwa Amour Zahor: Mwanamke Mwanamapinduzi, kilichozinduliwa Novemba 6, 2021.