
Ida Hadjivayanis: Hakuna Kiswahili Kimoja
Kuna lahaja nyingi na kumekuwa na lahaja tofauti tangu awali, na sasa kuna njia nyingi za kusema Kiswahili.

Kuna lahaja nyingi na kumekuwa na lahaja tofauti tangu awali, na sasa kuna njia nyingi za kusema Kiswahili.

Afrika inatumika kama karata ya ushindi. Kwa mataifa makubwa ya kidunia, Afrika ni kama kete tu kwenye mchezo.

Bila viongozi wa nchi kutengeneza fursa za makusudi, hakuna mwandishi bunifu atakayehamasika kufika mbali.

Washindi wa kumi mpaka wa saba watunikiwa vyeti maalum, huku wa tatu mpaka wa kwanza wakijishindia fedha taslim.

Ifike wakati wanasiasa wa Afrika waone umuhimu wa kushirikiana.

Kwa kiwango fulani migogoro nchini DRC imekuwa ikichochewa na wakolini wake wa zamani na mataifa mengine ya Magharibi.

It is because Morocco is the only remaining colonial power in Africa that continues to illegally occupy Western Sahara.

Wanasema kucheleweshewa stahiki zao kunawapunguzia morali ya kazi na kuathiri ustawi wao.

Kama hatuwezi kujenga ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga miundombinu mikubwa ya umwagiliaji?

Dira yake ya kutaka kuigeuza Zanzibar kuwa ‘Singapore ya Afrika’ ilitawala mkutano wa kuenzi urathi wake kwenye elimu.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved