
Kwa Watanzania Waliofariki 2024, Tunawakumbuka na Kusherehekea Maisha Yenu
“Wafu wetu kamwe hawawi wafu kwetu mpaka pale tunapokuwa tumewasahau.”

“Wafu wetu kamwe hawawi wafu kwetu mpaka pale tunapokuwa tumewasahau.”

Kibao alikuwa ni mjumbe wa sekretarieti ya CHADEMA ambapo alitekwa maeneo ya Tegeta, jijini Dar es Salaam na mwili wake kupatikana Ununio mnamo Septemba 07

Kauli ya mtoto wa mwanasiasa huyo kwa Kiongozi Mkuu wa nchi inakuja takriban miezi miwili tangu kuripotiwa kwa taarifa za kutekwa na kuuwawa kwa mzazi wake.

Kwa kulinganisha na takwimu za Sensa ilizofanyika mwaka 2022 ambapo zilionesha watu wenye umri wa miaka kumi na sita na kuendelea walikua 32,988,131, kitakwimu kama tukipunguza idadi ya vifo basi kuna uwezekano mkubwa Wizara ya TAMISEMI imeweza kuwasajili Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura.

CHADEMA ina jukumu la kuamua kuendelea katika hali ya kutoaminiana ambapo hakuna cha msingi kitakachotekelezeka, au kuvunja ndoa na watu wanaowafanya wasiaminiane.

Opposition leaders have called for Masauni’s resignation following a wave of abductions across the country.

Serikali na Mahakama zabainisha madai ya bibi huyo dhidi ya mtoto wake hayana ukweli wowote.

Maoni ya Watanzania wengi ni kwamba watu wote waliotoweka katika mazingira ya kutatanisha wanapaswa kurudi kuungana na familia na wapendwa wao, ambao wameeleza kwamba wako tayari kuwapokea hata kama wakiwa wamekufa.

Maridhiano yalikuwa ahueni ya kisiasa kwa Rais na Serikali yake. Kutoa sifa kwa suala ambalo halikutimilika ni sawa na kujipakaa mafuta mwilini bila kuoga.

Opposition parties CHADEMA and ACT-Wazalendo have already complained that authorities across the country have “baselessly” disqualified thousands of their candidates for the November 27 local government elections, a precursor of what’s to come in 2025.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved