Simulizi ya Mapambano ya Mama Mwenye Ulemavu: Uzazi Katika Umri Mdogo, Kazi, Mapenzi, Familia na Ndoa
Ni simulizi ya Wema Hassan Hamis, mama wa watoto wawili anaelezea changamoto alizokutana nazo toka akiwa msichana mpaka sasa. Wema anaihimiza serikali kufanya urahisi kwa watu wenye ulemavu kuipata mikopo ya Halmashauri