
Kughushi Vyeti vya Ndoa Kunavyokwamisha Jitihada za Kutokomeza Ndoa za Utotoni Tanzania
Kuondoa tatizo hili imependekezwa ihakikishwe kila Mtanzania anakuwa na cheti cha kuzaliwa kitakachopatikana kwenye mfumo, ili kuondoa udanganyifu wakati wa kusajili ndoa.