The Chanzo is hosting Digital Freedom and Innovation Day on April 20, 2024. Register Here

Category: Digital Rights

CCM Yaja na ‘QR Code’ Kupambana na Upotoshaji, Taarifa za Uongo

Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Gabriel Makalla, Julai 21, 2025 amewataka wananchi kutumia nembo maalum ya ‘QR Code’ itakayokuwa kwenye vipeperushi vya taarifa rasmi za chama hiko kwa ajili ya kuhakiki taarifa.

×