Bunge la Kumi na Mbili: Tutarajie Upinzani Bila Wapinzani?

Bunge la 12 limepewa jina la ‘Bunge la Kijani’ na baadhi ya wachambuzi. Ni bunge ambalo halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani wala Baraza Kivuli la Mawaziri. Tutegemee nini kutoka kwa bunge hili?
Uhasama Kati Ya Mataifa Ya Afrika Mashariki Unaipeleka Wapi Jumuiya Hiyo?

Mahusiano ya mataifa ya Afrika Mashariki yako katika sura ya mchafukoge na kizungumkuti. Kila nchi imejiundia hasimu wake. Hakuna mgogoro unapatiwa ufumbuzi wa kudumu.