Anatumia Mitandao ya Kijamii Kuwatafutia Wenza Watu Wanaoishi  na VVU 

Dar es Salaam. Kuna changamoto nyingi sana zinazowakabili watu wanaoishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI nchini Tanzania. Na jitihada nyingi zinachukuliwa kuhakikisha kwamba changamoto hizi, au watu hawa, wanaondokana na changamoto hizi. Lakini kwa kiasi fulani changamoto moja inaonekana ni kama vile haipiganiwi kama vile inavyohitajika. Na hii ni changamoto inayowakabili watu wanaoishi na […]