Serikali inakusudia kuhama kutoka kwenye mfumo wa kununua kulingana na bei za wazabuni waliopatikana katika mchujo wa zabuni kwenda kwenye mfumo wa kununua kulingana na bei halisi katika soko.
Serikali inakusudia kuhama kutoka kwenye mfumo wa kununua kulingana na bei za wazabuni waliopatikana katika mchujo wa zabuni kwenda kwenye mfumo wa kununua kulingana na bei halisi katika soko.
Tuwekeze katika Kiswahili na elimu bora ili tupate wahitimu wa shule na vyuo ambao ni wadadisi na wanaoweza kuhaurisha maarifa waliyoyapata kwa manufaa yao na jamii.
ACT-Wazalendo inashauri kuundwa kwa kampuni yenye kumilikiwa kwa ubia kati ya wenyeji waNgorongoro na Serikali.
Ruzuku za pembejeo ni sehemu tu ya misaada ya serikali kwa wakulima hususani wadogo ambao ndio wanaunda sehemu kubwa ya uzalishaji wa mazao nchini.
Mazungumzo na Wakili Ben Ishabakaki
Wakazi wa Arusha wamejikuta katika wimbi la hofu baada ya wimbi baada ya mtu anayevamia nyumba na kubaka kuibuka tena
Vijana wanaosadikika kuwa ni kundi la kihalifu linalojulikana kama "Panya road" wavamia mtaa wa Gogo, Kata ya Zingaziwa Chanika
Wakili huyo hata hivyo anaonya kwamba Katiba na sheria nzuri havitoi uhakika kwamba mfumo wa haki utaimarika. Anasema mageuzi ya kisheria ni lazima yaambatane na mageuzi ya kitabia na kimatendo miongoni wato haki.
Mwanaharakati huyo anautaja mfumo dume kama chanzo kikuu cha matatizo mengi katika jamii kwani unalenga kuifanya jamii kuwa yenye manufaa kwa jinsia moja (ya wanaume) kwa gharama ya jinsia nyengine (ya wanawake)
Hatua hiyo inakuja takriban mwezi mmoja tangu Serikali itangaze kutengwa kwa eneo maalum wilayani Handeni kwa ajili ya wananchi wa Ngorongoro watakaokuwa tayari kuhama kutoka kwenye hifadhi ya Ngorongoro kwa hiari.