Profesa Shivji: Dira ya Taifa Haina Muda Maalum.Tusikubali Kufanyiwa Majaribio
Katika wasilisho lake hilo Shivji ameasa juu ya taifa kuepuka kufanyiwa majaribio katika utengenezaji wa dira yake.
Katika wasilisho lake hilo Shivji ameasa juu ya taifa kuepuka kufanyiwa majaribio katika utengenezaji wa dira yake.
Uchambuzi wa The Chanzo, uliojikita kwenye aina hiyo ya mikopo, pamoja na nyaraka za makubaliano kati ya Korea Kusini na baadhi ya wanufaika wa mikopo hiyo, madai hayo yanaonekana kuwa mbali na ukweli.
Jumla ya bilioni 460.33 zimepangwa kutumika na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha wa 2024/25.
Mei 13, 2024 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilijadili na kupitisha bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2024/25 jumla ya shilingi trilioni 1.3
Katika mwaka huu wa fedha bajeti ya Wizara ya Elimu imechukua asilimia 3.99 ya bajeti yote ya Serikali.
katika tukio la Jumapili ya Mei 12,2024, jumla ya nchi 11 zimeathirika ikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Mozambique, Mayotte, Malawi, Burundi, Madagascar. Mpaka sasa bado haijaelezwa chanzo cha hitilafu hiyo
Wanaharakati pia wanataka viongozi wa Serikali wawajibishwe kwa kujihusisha na vitendo vinavyokiuka haki za binadamu.
Wananchi wanalalamika Serikali kutumia mabavu kuwahamisha kwenye ardhi yao iliyobadilishwa kuwa hifadhi bila ushirikishwaji wa wanavijiji.
Bunge la Tanzania lilipitisha bajeti ya Wizara ya Kilimo kiasi cha shilingi trilioni 1.249 kwa mwaka wa fedha wa 2024/25 siku ya Mei 3, 2024.
Moja ya jambo ambalo linaonekana katika bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka 2024/25 ni kuwa bajeti hii imepungua kwa kiasi kikubwa, kwa takribani asilimia 38, hii ikiwa ni baada ya miaka minne ya bajeti kuongezeka.
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved