Wengi wanadhani ni hivyo, lakini siyo wote.
Wengi wanadhani ni hivyo, lakini siyo wote.
Kwamba ACT-Wazalendo wameamua kufuata ushauri wa hayati Maalim Seif Sharif Hamad wa nani awe mrithi wake kwa nafasi ya Makamo wa Kwanza wa Rais inaonesha ni kwa kiasi gani kiongozi huyo alikuwa na ushawishi usiokifani kuweza kuamua mambo kutokea kaburini.
Shamrashamra za Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya zinaendelea sehemu mbalimbali duniani. Ndugu, jamaa na marafiki wanajumuika kwa furaha wakibadilishana mawazo na kujipumzisha. Ni wakati muhimu kwa wanafamilia. Wanafunzi ambao muda mrefu huwa wanakua shuleni wamerejea nyumbani. Wazazi ambao muda mrefu huutumia kazini wanapumzika nyumbani. Familia, kama nguzo muhimu ya ujenzi wa taifa, zinakutanishwa pamoja na kufurahi. Kwa bahati mbaya, hali haipo hivi kwa mamia ya watumishi wa halmashauri zetu hapa nchini. Wao wameambiwa wasiende...
Bunge la 12 limepewa jina la ‘Bunge la Kijani’ na baadhi ya wachambuzi. Ni bunge ambalo halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani wala Baraza Kivuli la Mawaziri. Tutegemee nini kutoka kwa bunge hili?