Watanzania Tupo Kwenye Hali Nyerere Alitutahadharisha Nayo: Utii Ukizidi Unakuwa Woga, na Uoga Huzaa Unafiki na Kujipendeza
Watanzania tuna wajibu, kama raia wa taifa hili ambayo hatma yake iko mikononi mwetu, wa kukataa mazingira yeyote ya kuabudu watawala na kuogopana.