Yanayokera Kuhusu Katiba ya 1977 na Haja Yakuwa na Katiba Mpya Sasa

Mamlaka ya kifalme ambayo Katiba hiyo inampa Rais ni moja kati ya mengi yanayofanya watu wadai Katiba Mpya.
Sakata la Bandari: Je, Serikali Imepoteza Imani ya Wananchi?

Lazima tukubali kuwa tumepoteza uaminifu na imani kwa taasisi, Serikali na viongozi wetu. Hali hii ni hatari. Tunatakiwa tuiamini Serikali na viongozi wetu.