
INEC Yapokea Rufaa 33 za Wagombea Udiwani, Ubunge Dhidi ya Uamuzi wa Mapingamizi Uliotolewa na Wasimamizi wa Uchaguzi
Hadi kufikia tarehe 31 Agosti 2025, Tume ilipokea jumla ya rufaa 33, ambapo rufaa 13 zimefanyiwa maamuzi. Kati ya hizo, rufaa 8 zilihusu nafasi za ubunge na rufaa 5 zilihusu nafasi za udiwani.








