Ni Kwa Kiwango Gani Waafrika Wanaweza Kujitatulia Matatizo Yao Wenyewe?
Wimbi la mapinduzi ya kijeshi linaloikumba Afrika kwa sasa, pamoja na ulegevu wa hatua za Umoja wa Afrika, kunaifanya kauli kwamba matatizo ya Afrika yatatuliwe na Waafrika wenyewe isiyoendana na uhalisia.