Aliyofanikisha Balozi Kairuki China Kabla ya Kuhamishiwa Uingereza 12 September 2023 Balozi Kairuki anaondoka Beijing baada ya kuhudumu kwa miaka sita, akisifiwa kusimamia diplomasia ya uchumi kwa umahiri mkubwa.