‘Chujio Lilikuwa na Tundu Nyembamba, Mpana Mimi Sikuweza Kupenya’
Hii ni kauli ya huzuni, lakini pia ya hekima. Inaakisi ukweli kwamba mchujo ndani ya CCM si wa kawaida.

Hii ni kauli ya huzuni, lakini pia ya hekima. Inaakisi ukweli kwamba mchujo ndani ya CCM si wa kawaida.

Kuna heshima katika kubaki mwaminifu, hata kama hukupita. Kuna thamani kubwa katika kuwa sehemu ya chama kikongwe, hata bila cheo.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved