Seif Sharif Hamad: Kiongozi Aliyetawala Nyoyo za Waongozwao Badala ya Viwiliwili Vyao 16 December 2024 Tunaamini kuwa Maalim Seif Sharif Hamad atasimama kama maktaba ya kusoma kwa viongozi wetu kwa ngazi zote