‘Niko Huru Baada ya Kusota Mahabusu kwa Siku 33’ 19 May 2021 Ni Deogratias Cosmas Mahinyila, aliyekuwa mgombea udiwani kata ya Berege, Dodoma kupitia CHADEMA mwaka 2020 na kupewa kesi ya uhujumu uchumi yeye na wenzake 15.