Fahamu Kuhusu Ugonjwa wa Homa ya Virusi vya Marburg 3 April 2023 Inashauriwa wataalamu wa afya kutoka katika sekta zote kama za binadamu, wanyama na mazingira kushikirikiana katika kugundua vihatarishi vya magonjwa kama haya.