Author: Ezekiel Kamwaga

Zama za Samia, Zitto na Mbowe

Nchini Tanzania kuna ombwe la kupata mwanasiasa ambaye anaya makundi yote yaliyopo nchini kama alivyokuwa Edward Lowassa mwaka 2015. Watanzania hawajamwona mwanasiasa huyo bado.