Afya ya Akili: Tuzungumze Kuhusu Ugonjwa wa Sonona
Kuna uhusiano mkubwa kati ya afya ya akili na afya ya mwili, haki za binadamu, maendeleo ya kiuchumi na maendeleo ya jamii, hali inayotulazimisha, kama taifa, kuboresha huduma kukabiliana na matatizo ya afya ya akili.