Ebola Preparedness: Tanzania Must Move Beyond Announcements to Real Readiness
Tanzania’s Ebola outbreak announcement highlights the gap between political slogans and true readiness, which demands transparency, resources, and community engagement.

Tanzania’s Ebola outbreak announcement highlights the gap between political slogans and true readiness, which demands transparency, resources, and community engagement.

Kuna uhusiano mkubwa kati ya afya ya akili na afya ya mwili, haki za binadamu, maendeleo ya kiuchumi na maendeleo ya jamii, hali inayotulazimisha, kama taifa, kuboresha huduma kukabiliana na matatizo ya afya ya akili.

Serikali haina budi kuhakikisha huduma bora zaidi kwa gharama nafuu zinapatikana kwa Watanzania walio wengi.