
Beyond the Ballot: Do Dar Locals Feel They Gain from Multi-Party Democracy?
Many say the system is good and should remain, while calling for the shortcomings facing it to be corrected so that it can benefit them more effectively.

Many say the system is good and should remain, while calling for the shortcomings facing it to be corrected so that it can benefit them more effectively.

Wengi wanasema mfumo huo ni mzuri unaopaswa kubaki, wakitoa wito kwa kasoro zinazoukabili kurekebishwa ili uweze kunufaisha vizuri zaidi.

Kuhusu gharama za uchaguzi Mugasha amesema kuwa sheria imempa Msajili nguvu na wajibu mkubwa wa kuhakikisha utekelezaji wa masharti yake na amebainisha kuwa tayari fomu za kutangaza gharama za uchaguzi zimesambazwa katika maeneo yote nchini kuanzia kwenye majimbo 272 na kata 3,960.

Baadhi ya sifa hizo ni pamoja na uwajibikaji, kuwa karibu na wananchi, na kutanguliza maslahi ya wale anaowawakilisha.

Some of these qualities include accountability, being close to the citizens, and prioritising the interests of those they represent.

Soko hilo lipo mtaa wa Kawawa, kata ya Hananasif, ambalo Serikali ya Mtaa imeahidi kukamilisha ujenzi wake hivi karibuni.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved