Ida Hadjivayanis: Hakuna Kiswahili Kimoja 10 July 2023 Kuna lahaja nyingi na kumekuwa na lahaja tofauti tangu awali, na sasa kuna njia nyingi za kusema Kiswahili.