Tuwaunge Mkono Watu Wenye Ulemavu Waliojitokeza Kugombea Nafasi za Kisiasa 13 July 2025 Uongozi bora haupaswi kuangalia hali ya mtu bali uwezo, maono na dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi.