Uhamisho wa Wafanyakazi Wazawa Ngorongoro Unaacha Maswali na Mashaka Makubwa 28 May 2022 Wafanyakazi hao wamehamishwa licha ya kugomea uamuzi huo kwa kukataa kujaza fomu maalumu ambazo ziliwataka kutoa idadi ya mifugo wanayowamiliki.