Mazungumzo na Mchimbaji Mdogo wa Madini Kigoma, Tanzania: ‘Bado Hatujatambuliwa Ipasavyo’ 28 July 2025 Masharti ya kisheria na gharama kubwa za usajili, leseni, na uchunguzi wa madini yanazifanya fursa kuwa mbali kwa watu wa kipato cha chini kama masanja.