Barua ya Wazi kwa Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi, Kuhusu Kutekwa Kwangu Nikiwa Ndani ya Gari la Mwenyekiti wa UVCCM, Bariadi
Nilitekwa nikateswa kwa kupigwa na mikanda, bisibisi, plaizi, ngumi, mateke na kunisababishia ulemavu wa mwili mpaka hivi sasa