
Habari ‘Petty’ kwa Taifa Kubwa: Je, Uandishi wa Habari wa Tanzania Umepoteza Dira?
Mwandishi wa habari anapaswa kuwa jicho la mwananchi kule ambako hawezi kuona, ni sikio lake kule ambako hawezi kusikia, na ni daraja linalopaswa kumsaidia kulielewa taifa lake.