
Bila Ushirikishwaji Mpana na Uhalali wa Kijamii, Wananchi Lazima Waione Tume Kama Chombo cha Serikali Badala ya Taifa
Tangazo la Rais Samia Suluhu Hassan la kuunda tume ya kuchunguza madhila ya Oktoba 29, 2025, lingetarajiwa lipokelewe kama hatua ya kurejesha imani, kuponya majeraha,