Ingawaje mwelekeo ni mzuri, wengi wanatumaini kwamba Serikali sasa itajielekeza zaidi katika kukidhi mahitaji ya utoaji wa elimu bora inayokidhi mahitaji ya sasa ya nchi na dunia kwa ujumla.