Othman Masoud: Mapinduzi ya Zanzibar Siyo Milki Ya Wachache 13 January 2021 Mapinduzi ya Zanzibar yanafanywa kuwa ni utambulisho wa tabaka fulani na asiyenasibishwa nayo hana haki ya kuchagua wala kuchaguliwa.