Nini Maana ya Mfumo Mpya wa Usimamizi wa Sera ya Fedha Uliotangazwa na BoT? 10 January 2024 Kizio cha Riba ya Benki Kuu, pamoja na vigezo vingine, vitatumika katika kuchakata riba katika benki za biashara.