Chakula cha Msaada Kutoka Marekani na Mijadala ya Usalama Wake 16 March 2024 Taarifa ya “mchele ulioongezewa virutubisho” yazua gumzo mitandaoni, huku baadhi wakihoji endapo kama mchele huo ni wa GMO.