Tusidanganyane: Sh200 Bilioni ni Mradi wa Kisiasa wa Watawala, Sio Uwezeshaji wa Vijana Wote
Katika mradi na mpango huu “mpya” unaoelezwa na Serikali ni muhimu kujiuliza kuwa hizi bilioni 200 ni kwa ajili ya nani haswa?

Katika mradi na mpango huu “mpya” unaoelezwa na Serikali ni muhimu kujiuliza kuwa hizi bilioni 200 ni kwa ajili ya nani haswa?

Uchaguzi Mkuu wa 2025 ni zaidi ya tukio la kisiasa; ni fursa ya kuandika upya historia ya taifa.
The Chanzo Initiative, 2025 © All Rights Reserved