Kwetu Sisi ACT Wazalendo, Mahakama ni Ulingo Mwingine wa Mapambano, Tutaitumia Ipasavyo 10 January 2025 Tumeamua kwenda mahakamani kupambana kwa ajili ya ustawi na maendeleo ya wananchi; kuishinda dhulma ya dola na CCM.