Historia Mpya Iliandikwa Kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa CCM 2025. Lakini Inaweza Kuwa na Maana Gani kwa Tanzania?
Kwa siku za mbeleni kutakua na shauku kubwa ya kuona ni makundi yapi yamepata nguvu na makundi yapi ushawishi wake umepungua au kuisha kabisa.