Tito Magoti: Tukiwa Tunaadhimisha Wiki ya Sheria, Tuwafikirie Wanaoendelea Kusota Gerezani Bila Kutiwa Hatiani

Watu walioko magerezani ambao haki yao haimaanishi kuachiwa tu, bali kusikilizwa, na kupata matokeo kwa wakati, wapewe kipaumbele. Hakuna lugha nyingine ya kuelezea mfumo wetu wa haki jinai zaidi ya kusema tuko njia panda!
Tito Magoti: Barua ya Wazi kwa Rais Samia Kuhusu Hali ya Haki Jinai Tanzania

Ni kuhusu vilio vya haki dhidi ya mfumo wa haki jinai nchini.