
Tume Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29, 2025: Serikali Iepuke Vishawishi vya Kutaka Kujistiri na Badala Yake Ijikite Kwenye Kuliponya Taifa
Ili kufikia malengo ya kweli ya maridhiano, lazima watu waongee kwa uwazi, ukweli, wajumuishwe kupitia makundi yao ya uwakilishi, pasipo hofu, kificho wala hila.








