Mabadiliko ya Umiliki wa Benki Nchini Tanzania, Access Kuitwa Selcom Sasa
Mabadiliko hayo yanaihusu Benki ya Acess iliyonunuliwa na Selcom. BancABC itabwadilishwa jina na kuwa Access Bank, baada ya kununuliwa na Benki ya Nigeria. Kilimanjaro Co-operative na Tandahimba Co-operative zinaungana na kuunda Co-operative Bank of Tanzania Limited