
Ufaransa Yajitolea Kuishirikisha Tanzania Namna Bora za Uhifadhi
Ufaransa imekuwa ikitumia utaratibu jumuishi ambapo wenyeji na mamlaka za Serikali hushirikiana katika kuhakikisha kwamba maliasili zinahifadhiwa na manufaa kwenda kwa wenyeji na Serikali kwa pamoja.







