Nitakavyomkumbuka Mwinyi, Mzee Rukhsa Asiyekuwa na Tamaa ya Madaraka
Mwinyi, aliyeaga dunia Februari 29, alikuwa tayari kusalimisha wadhifa wake wa uwaziri kutokana na uzembe wa wengine, na aligoma kugombea urais wa nchi, akiridhika kikamilifu na cheo chake cha urais wa Zanzibar.