
Tume ya Taifa ya Uchaguzi Yamkabidhi Samia Fomu ya Ugombea Urais 2025
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Rais Samia, aliyeingia madarakani hapo Machi 19, 2021, kushiriki kwenye kinyang’anyiro cha Urais kama mgombea kwani mara zote alizoshiriki – alifanya hivyo akiwa mgombea mwenza wa hayati Rais Magufuli.