
‘Yale Hayakuwa Maandamano’: Hotuba Kamili ya Rais Samia Akiongea na Wazee wa Dar es Salaam, Disemba 2, Kuhusiana na Matukio ya Okt. 29, 2025
Kwenye hotuba hiyo, Rais Samia anaeleza mtazamo wake kwa kile kilichotokea, wahusika wakuu waliokuwa nyuma ya matukio hayo, pamoja na kile anachoamini ni malengo haswa ya vitendo hivyo ambavyo yeye amevipa jina la “vurugu.”








