Mazungumzo na Wakili Ben Ishabakaki
Mazungumzo na Wakili Ben Ishabakaki
Wakazi wa Arusha wamejikuta katika wimbi la hofu baada ya wimbi baada ya mtu anayevamia nyumba na kubaka kuibuka tena
Vijana wanaosadikika kuwa ni kundi la kihalifu linalojulikana kama "Panya road" wavamia mtaa wa Gogo, Kata ya Zingaziwa Chanika
Hatua hizi zinazoendelea kuchukuliwa kuboresha sekta ya elimu Zanzibar hazitazaa matunda endapo kama wale wanaopewa dhamana hawatachukua jitihada za makusudi katika kurekebisha vikwazo vilivyopo ili changamoto za sekta ya elimu kutatuliwa ipasavyo.
Wadau wa sekta ya habari na vyombo vya habari ulimwenguni kote wamekuwa wakibainisha umuhimu wa wahariri na waandishi wa habari kuendana na kasi ya mabadiliko ya kiteknolojia.
Wednesday’s announcement is music in the ears of activists who since 2017 when Magufuli imposed the ban have been pressuring the government to lift it, noting that it was hurting girls more than it was helping them.
Programu ya EMA-i hutumika katika uangalizi na utoaji wa taarifa zinazohusiana na magonjwa mbali mbali.
Katibu wa Wamachinga afunguka juu ya agizo la Mkuu wa Mkoa
Ugonjwa wa ischemic heart disease umekuwa umeonekana ni ugonjwa ambao unaua watu wengi sana katika nchi nyingi zilizoendelea, lakini katika miaka ya karibuni hilo tatizo pia limeanza kuonekana katika hizi nchi zinazoendelea