Uandikishaji Serikali za Mtaa: Takwimu za Kihistoria au Hamasa ya Kihistoria?
Kwa kulinganisha na takwimu za Sensa ilizofanyika mwaka 2022 ambapo zilionesha watu wenye umri wa miaka kumi na sita na kuendelea walikua 32,988,131, kitakwimu kama tukipunguza idadi ya vifo basi kuna uwezekano mkubwa Wizara ya TAMISEMI imeweza kuwasajili Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura.