
Freeman Mbowe Aipa Heko Dira 2025, ‘Kazi Hii Iliyofanyika ni Mwanzo Mzuri’
Mwanasiasa huyo mkongwe wa upinzani nchini amesisitiza kuwa salama au kesho ya iliyo bora kwa taifa la Tanzania itapatikana kwa kuweka tofauti za kiitikadi, imani, dini na kabila pembeni ili kujenga taifa moja la watu wenye mshikamano.