Operesheni ya Polisi Dar Dhidi ya Wanaodaiwa Kuwa Panya Road Ichunguzwe 29 September 2022 Hatuwezi kutengeneza mazingira ambapo wananchi huku wanaogopa Panya Road na huku wanaogopa Jeshi la Polisi.