Ado Shaibu: Ninavyomfahamu Richard Mabala, Mwalimu Hodari, Mwanaharakati Machachari 3 September 2024 Alikuja Tanzania akidhani atakaa kwa miezi michache tu, akavutiwa kubaki na mpaka kuacha uraia wake wa Uingereza na kuwa Mtanzania kamili.